Azam News

Latest News

Jun 19, 2015 02:36pm

Ame Ally Zungu aliyesajiliwa na Azam FC akitokea Mtibwa Sugar, leo ameanza rasmi mazoezi na kikosi chake hicho kipya kilichomkabidhi jezi namba 24 iliyokuwa ikivaliwa na Gaudence Mwaikimba aliyejiunga na JKT Ruvu.

 

Amme ameungana...

Jun 18, 2015 02:05pm

Mshambuliaji wa Azam FC, Mcha Hamis amewekwa bandeji ngumu P.O.P kwenye mguu wake wa kushoto baada ya kupata majeruhi kwenye goti lake la mguu wakushoto, hivyo amepewa mwezi mmoja kuwa nje ya Uwanja na atakosa mashindano ya Kombe la Kagame.

...
Jun 17, 2015 12:27pm

Uongozi wa Azam FC upo katika hatua za mwisho kumsajili mlinda lango wa Jeunesse ya Ivory Coast Vincent Atchouailou de Paul Angban.

Mchezaji huyo anatarajiwa kuwasili wiki ijayo akiambatana na Kipre Tchetche, Kipre Bolou, na Serge Wawa...

Jun 17, 2015 10:03am

Azam imeanza rasmi mazoezi leo kwa ajili ya kujiandaa na michuano mbalimbali inayowakabili kama Kombe la Kagame, Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho ambapo kocha wao Mkuu Mungereza, Stewat Hall amesisitiza lazima kieleweke safari hii.

 ...

Jun 16, 2015 08:05pm

Kocha mkuu wa Azam FC, Muingereza Stewart Hall amesema, amefurahia ujio wa mshambuliaji Ame Ali kwenye kikosi chake na hana wasiwasi naye.

 

Ame ni mchezaji pekee aliyesajiliwa na Azam msimu huu akitokea Mtibwa Sugar na ujio wake,...

Jun 13, 2015 12:38pm

Muda wowote kuanzia sasa mshambulizi kiongozi wa Mtibwa Sugar Ame Ally atatua Azam FC, Mazungumzo baina ya mchezaji na Uongozi wa Mtibwa Sugar yamekamilika, kilichosalia ni kwa mchezaji kumalizia taratibu za kujiunga na Azam FC na kutangazwa...

Jun 10, 2015 01:52pm

Mkurugenzi wa Fedha na utawala wa Azam FC toka nchini Uingereza pamoja na wasaidizi wa benchi la ufundi kuwasili ijumaa hii tayari kuanza kazi Azam FC

 

Kufuatia mabadliko makubwa ya watendaji na mfumo wake wa uongozi, benchi la...

Jan 14, 2015 09:40pm

KLABU ya Azam FC imemsajili winga wa kimataifa wa Uganda, Brian Majwega leo mjini Kampala, Uganda.

Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Saad Kawemba amesema kwamba, winga huyo wa KCCA ya Kampala, Uganda amesaini Mkataba wa miaka miwili kujiunga na...

Pages

Back to Top