Azam News

Latest News

Jun 13, 2015 12:27pm

lia AZAM FC imeifunga mabao 3-1 Mtibwa Sugar ya Morogoro katika mchezo wa kirafiki usiku huu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.

Mchezo huo maalum uliondaliwa kujaribu taa za Uwanja wa Azam Complex, ulikuwa mkali na wa...

Dec 19, 2014 12:24am

Mkurugenzi Mkuu wa Azam FC, Abubakar Bakhresa (kushoto) akiwa na Mtendaji Mkuu wa klabu, Saad Kawemba kushuhudia mazoezi jana Uwanja wa Azam Compolex, Chamazi, Dar es Salaam

Dec 19, 2014 12:21am

MCHEZAJI bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara mwezi uliopita, Oktoba, Salum Abubakar ‘Sure Boy’ wa Azam atakabidhiwa tuzo yake kesho.

Mtoto huyo wa kiungo wa zamani wa kimataifa wa Tanzania, Abubakar Salum ‘Sure Boy’ atakabidhiwa...

Dec 19, 2014 12:22am

AZAM FC imepunguzwa kasi katika Kombe la Kagame, baada ya kulazimishwa sare ya mabao 2-2 na Atlabara ya Sudan Kusini jioni hii Uwanja wa Stade de Kigali, Nyamirambo mjini Kigali.

Mshambuliaji wa zamani wa Yanga SC, Didier Kavumbangu...

Pages

Back to Top