Club News
Azam FC yaendeleza wimbi la ushindi, yaifunga Moro United 1-0
Maandalizi mechi ya kesho dhidi ya African Lyon FC yaendelea
Maandalizi VPL, Azam FC yaifunga Villa Squad 3-2
Azam FC Mabingwa wapya wa mapinduzi Cup, waifunga Jamhuri 3-1
Baada ya Yanga, sasa ni zamu ya Simba "Stewart Hall"
Baada ya kuitoa Yanga kocha wa Azam FC amesema sasa ni zamu ya kuitoa Simba katika mchezo wa nusu fainali itakayochezwa leo usiku kwenye uwanja wa Amaan, Zanzibar.
Simba imeingia hatua hiyo na kukutana na Azam FC kingekewa huku ikiacha simulizi lukuki kutokana na kiwango chao, kocha Stewart Hall wa Azam amesema walishajiandaa muda mrefu kukutana na moja kati ya timu hizo.
“Imekuwa kama hali ya kushangaza kwetu, kukutana na Simba na Yanga katika michuano hii, mwanzo tulijiandaa kukutana na moja ya timu hizi kabla ya kuingia fainali, hivo tumekutana nazo zote” alisema Stewart.
Aggery Morris na matarajio ya kuifunga Yanga kesho
Azam FC kuijaribu Mafunzo leo jioni, Mwaikimba kuongoza safu ya ushambuliaji
Salam za mwaka mpya kwa mashabiki wetu.
Awali ya yote webmaster angependa kuwashukuru sana mashabiki wa kweli wa Azam FC kwa kuwa bega kwa bega na sisi katika kipindi chote cha misimu mitatu ya ushiriki wetu ligi kuu ya Tanzania. Hakika klabu yetu imekua sana kimuundo, miundombinu, vitendea kazi na nguvu kazi. Yote haya yasingepatikana bila nyinyi kwani mara zote ushauri wenu na uwepo wenu vimekuwa vikiwatia nguvu wakurugenzi na kujiona wana deni kwenu. AHSANTENI SANA.















