First Team

Latest News

Feb 21, 2018 12:30pm

WAKATI nahodha wa Azam FC, Himid Mao ‘Ninja’, akitarajia kukaa nje ya dimba kwa wiki tatu zaidi, habari njema ni kuwa mshambuliaji Wazir Junior, ataanza rasmi mazoezi Jumatatu ijayo.

Wawili hao wanasumbuliwa na majeraha tofauti, Himid...

Feb 20, 2018 09:32am

KOCHA Mkuu wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Aristica Cioaba, ameweka wazi kuwa timu hiyo haitakiwi kufanya makosa yoyote kuelekea mchezo wa hatua ya 16 bora ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) dhidi ya KMC...

Feb 16, 2018 08:19pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imetoka suluhu dhidi ya Lipuli katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) uliofanyika Uwanja wa Samora, Iringa jioni ya leo.

Kwa matokeo hayo Azam FC inaendelea kusalia...

Feb 15, 2018 08:31pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, itakuwa na kazi moja tu kesho Ijumaa kusaka pointi tatu muhimu ugenini pale itakapokuwa ikimenyana na Lipuli katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) utakaopigwa Uwanja wa Samora...

Feb 14, 2018 06:33am

NAHODHA wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Himid Mao ‘Ninja’, anatarajiwa kuelekea jijini Cape Town, nchini Afrika Kusini kesho Alhamisi kufanyiwa uchunguzi wa goti la mguu wake kulia linalomsumbua.

Ninja ambaye amekosa...

Pages

Back to Top