Football

Azam FC kwa mara nyingine tena imepoteza ngao ya jamii baada kulazimishwa suluhu ya bila kufungana Yanga ambao baadaye waliwatoa kwa njia ya mikwaju ya penalti 8-7 wakachukua ubingwa wa Ngao ya...

Straika Mrundi wa Azam FC, Didier Kavumbagu amekubali ufundi anaoupata kutoka kwa kocha wake, Muingereza Stewart Hall na akatamba kwamba huyu kocha anajua sana.

Kavumbagu amefundishwa na...

Pages

Champions League

2 years 3 months ago

Latest News

9 hours 30 min ago

MICHUANO ya Ligi ya Vijana ya Azam chini ya umri wa miaka 15 (Azam Youth League U-15) imemalizika usiku huu ikishuhudiwa JMK Park ikiibuka mabingwa na Azam FC ikishika nafasi ya pili.

Ligi...

1 day 10 hours ago

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imetoka sare ya bao 1-1 na Friends Ranger katika mchezo wa kirafiki uliofanyika kwenue Uwanja wa Azam Complex leo usiku/

Ilikuwa ni siku...

2 days 11 hours ago

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imejiwekea malengo ya kufika fainali ya Kombe la FA (Azam Sports Federation Cup) ikiwemo kulitwaa taji hilo msimu huu.

Kauli hiyo ameitoa...

Back to Top