Football

SOKA ni mchezo wa bahati wakati mwingine. Naam sadakta, usemi huo umedhihirika leo kwenye Uwanja wa Prince Moulay Abdellah baada ya Azam kulala 2-1 mbele ya wenyeji AS FAR Rabat na kutolewa katika...

 

Timu ya soka ya Azam FC imesafiri leo kuelekea Manungu Turiani mkoani Morogoro kukwaana na Mtibwa Sugar mchezo ambao utafanyika kesho

Azam FC imesafiri na kikosi chake chote cha...

Pages

Champions League

4 years 10 months ago

Latest News

2 weeks 7 hours ago

NI mpambano wa kufa au kupona! Ndio unavyoweza kuielezea hivyo mechi ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) kati ya Azam FC na Simba, itakayofanyika kesho Jumatano saa 1.00...

3 weeks 2 days ago

KLABU ya Azam imeendelea kusalia nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) baada ya kutoka suluhu na mpinzani wake katika nafasi hiyo Yanga.

Suluhu hiyo...

3 weeks 4 days ago

NI mchuano mkali! Ndivyo unavyoweza kusema hivyo, pale Azam FC itakapokuwa ikivaana na Yanga, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) utakaofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam...

4 weeks 8 hours ago

KOCHA Mkuu wa Klabu ya Azam, Aristica Cioaba, ameweka wazi kuwa anapenda kushinda mechi ijayo ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) dhidi ya Yanga.

Mchezo huo unaosubiriwa na mashabiki...

4 weeks 8 hours ago

KLABU ya Azam tunathibitisha kuachana rasmi na aliyekuwa mshambuliaji wetu, Donald Ngoma, baada ya mkataba wake kufikia ukingoni jana Jumapili Juni 14 mwaka huu.

Baada ya makubaliano ya...

4 weeks 1 day ago

KIKOSI chetu cha Azam FC kinazidi kukamilika, baada ya kuwapokea wachezaji wawili kutoka Zimbabwe, beki wa kushoto, Bruce Kangwa na kiungo mshambuliaji, Never Tigere leo Jumatatu Juni 15 mwaka huu...

Back to Top