Team Injuries

Latest News

Nov 24, 2017 08:23am

NYOTA wawili wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Shaaban Idd na Joseph Kimwaga, waliokuwa majeruhi sasa huenda wakarejea dimbani Januari Mosi mwakani wakati timu hiyo ikishiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi visiwani Zanzibar....

Mar 24, 2017 02:58pm

BENCHI la Utabibu la Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, limeweka wazi taarifa mpya zinazowahusu wachezaji watatu wa timu hiyo, nahodha John Bocco ‘Adebayor’, Aggrey Morris na Stephan Kingue, ambao ni majeruhi.

Wakati Bocco...

Apr 07, 2016 05:51pm

BEKI kisiki wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Shomari Kapombe, ameondoka nchini leo saa 9.35 Alasiri akielekea Afrika Kusini kwa ajili ya kutibiwa kifua ambacho kinamsumbua.

Kapombe aliyekosa mechi mbili zilizopita za...

Jan 12, 2016 12:59pm

BEKI kisiki wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, Aggrey Morris, anatarajia kuondoka nchini leo Jumanne saa 9.15 Alasiri na kuelekea nchini Afrika Kusini kufanyiwa matibabu ya goti lake la mguu wa kulia.

Morris yuko nje ya...

Pages

Back to Top