Team News

Latest News

May 20, 2020 01:09am

"Ni zamu yao kuhakikisha kwamba hawashambuliwi na Corona kwa maana kwamba wawe makipa wazuri wazuie magoli yasipite kwenye lango lao, Corona asishinde, mabeki wao wageuke kama mabeki wazuie washambuliaji wa Corona wasipite, lakini wao nao pia...

May 13, 2020 12:53pm

BEKI wa kulia wa Azam FC, Nickolas Wadada, ameweka wazi kuwa janga la ugonjwa wa virusi vya Corona (COVID-19) limemuathiri kiuchumi baada ya kulazimika kuwasamehe kodi wapangaji wake.

Wadada kwa sasa yupo nchini kwao Uganda, akichukua...

May 13, 2020 12:53pm

BEKI wa kulia wa Azam FC, Nickolas Wadada, ameweka wazi kuwa janga la ugonjwa wa virusi vya Corona (COVID-19) limemuathiri kiuchumi baada ya kulazimika kuwasamehe kodi wapangaji wake.

Wadada kwa sasa yupo nchini kwao Uganda, akichukua...

May 03, 2020 03:02pm

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Aristica Cioaba, amefurahishwa na kauli ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) ambayo imeungana na wazo lake la kupendekeza wachezaji wa akiba kuongezwa hadi kufikia watano.

Wiki mbili zilizopita, akizungumza na...

Jan 31, 2019 03:33pm

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Amin 'Popat', akiunga mkono kwa asilimia 100, kuwa kipindi cha uhamisho wa wachezaji kwa nchi za Afrika kinatakiwa kuendana ili kutoa fursa kwa timu kuziba mapengo au kuuza wachezaji kwenye klabu...

Sep 27, 2018 04:26pm

JUMLA ya wachezaji nane wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, wameitwa kujiunga na timu mbalimbali za Taifa kwa ajili ya mechi za kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) mwakani nchini Cameroon.

Wachezaji sita kati ya...

Pages

Back to Top