Team News

Latest News

Dec 03, 2015 08:34pm

TIMU ya Azam FC imetoka sare ya bao 1-1 kwenye mchezo wa kwanza wa kirafiki mkoani Tanga dhidi ya wenyeji wao Mgambo JKT, uliofanyika Uwanja wa Mkwakwani jioni ya leo.

Mabingwa hao wa Afrika Mashariki na Kati ndio waliokuwa wa kwanza...

Dec 02, 2015 09:47pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC imewasili salama mkoani Tanga leo saa 12 jioni tayari kabisa kwa kambi ya siku tano ya kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) dhidi ya Simba utakaofanyika Uwanja wa...

Dec 02, 2015 08:46pm

WINGA wa timu ya Azam FC, Kelvin Friday, amewavutia mabingwa wa Ligi Kuu Ethiopia, St. Georges baada ya klabu hiyo kutuma barua ya kumtaka kinda huyo akafanye majaribio.
Akizungumza na mtandao wa azamfc.co.tz, Ofisa...

Dec 01, 2015 10:30am

NYOTA wa timu ya Azam FC, beki kisiki Aggrey Morris na winga Farid Maliki, wameanza rasmi mazoezi ya uwanjani baada ya kupona majeraha yaliyokuwa yakiwakabili.

Wachezaji hao waliumia wakati wakiwa kwenye kambi za timu za Taifa, Morris...

Pages

Back to Top