Team News

Latest News

May 26, 2018 04:24pm

UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, unapenda kuthibitisha kuwa umeingia makubaliano ya usajili kwa mkataba wa mwaka mmoja na mshambuliaji Donald Ngoma, kwa ajili ya msimu ujao 2018/2019.

Baada ya kuingia...

May 24, 2018 10:49am

#AzamComplexInspections KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki leo mchana ilipokea ugeni kutoka kwa Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) waliokuja...

May 21, 2018 01:45pm

MSHAMBULIAJI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Shaaban Idd, amekiri kuwa kuwa nje ya dimba kwa takribani miezi saba akiuguza majeraha ya nyonga kulimwaribia kuendeleza kasi aliyokuwa nayo msimu uliopita.

Usiku wa kuamkia leo,...

May 15, 2018 05:39pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imefikia makubaliano ya kuachana na mshambuliaji wake, Bernard Arthur mwishoni mwa msimu huu.

Arthur alisajiliwa kwenye dirisha dogo lililiopita la usajili akitokea Liberty Professional ya...

May 02, 2018 09:48am

NYOTA watatu wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, kipa Mwadini Ally ‘Reina’, viungo Salum Abubakar ‘Sure Boy’ na Frank Domayo ‘Chumvi’, wamechaguliwa kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa Azam FC (NMB Player Of The Month) mwezi Machi...

Apr 26, 2018 01:28pm

KIKOSI cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, muda mchache ujao saa 8 mchana kinatarajia kuanza safari ya kuelekea mkoani Morogoro, tayari kusaka pointi tatu muhimu dhidi ya Mtibwa Sugar keshokutwa Jumamosi.

Azam FC...

Apr 24, 2018 12:47am

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, inatarajia kucheza dhidi ya Kombaini ya Jeshi katika mchezo wa kirafiki unaotarajia kufanyika kwenye uwanja nyasi za kawaida ndani ya Azam Complex kesho Jumanne saa 10.00 jioni.

Mchezo huo...

Pages

Back to Top