Team News

Latest News

Apr 01, 2018 12:19pm

BEKI wa Azam FC, David Mwantika, anaendelea vizuri baada ya kupata hitilafu ya mwili wakati wa mchezo wa wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho (Azam Sporst Federation Cup) dhidi ya Mtibwa Sugar usiku wa kuamkia leo.

Mwantika alipata...

Mar 20, 2018 03:57pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, inatarajia kunoa makali yake kwa kukipiga na Friends Ranger kwenye mchezo wa kirafiki unaotarajia kufanyika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam Jumamosi hii saa 1.00 usiku.

...

Mar 18, 2018 02:58pm

WACHEZAJI watatu wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, Nahodha Himid Mao ‘Ninja’, washambuliaji Shaaban Idd na Yahya Zayd wanatarajia kuripoti kwenye kambi ya timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ leo Jumapili saa 9 alasiri....

Mar 14, 2018 01:18pm

ROBO fainali ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) kati ya Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC na Mtibwa Sugar sasa itafanyika Machi 31 mwaka huu kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salam saa 1.00 usiku....

Dec 27, 2017 11:43am

MMOJA wa Wakurugenzi wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Yusuf Bakhresa, amechaguliwa kugombea tuzo za vijana wenye ushawishi hapa nchini (Most Influential Young Tanzanian) zinazoandaliwa na Kampuni ya Avance Media.

Yusuf...

May 25, 2017 10:14am

KIPA namba moja wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Aishi Manula, usiku wa kuamkia leo amefanikiwa kutwaa Tuzo ya Kipa Bora wa msimu huu (2016/17).

Mbali na kipa huyo kutwaa hiyo, pia ameingia kwenye kikosi bora cha msimu...

May 24, 2017 11:06am

WINGA wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, aliyeko kwa mkopo kwenye timu ya CD Tenerife ya Hispania, Farid Mussa, tayari amemaliza msimu akiwa katika timu ya vijana huku mambo yakionekana kumwendea vema baada ya kufanya vizuri....

Pages

Back to Top