Error message

Deprecated function: The each() function is deprecated. This message will be suppressed on further calls in menu_set_active_trail() (line 2404 of /home/azam10/public_html/includes/menu.inc).

Team News

Latest News

Oct 06, 2016 07:40pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, inapenda kuufahamisha umma kuwa imemteua ndugu Abdul Mohamed kuwa Meneja Mkuu wa timu hiyo, uteuzi ulioanza Oktoba Mosi mwaka huu.

Uteuzi huo ni sehemu ya mikakati ya Azam FC ya kuendesha...

Aug 02, 2016 02:54pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, leo asubuhi imeanza tena mazoezi yake baada ya mapumziko ya jana huku ikitarajia kucheza mechi mbili za kirafiki kwa mujibu wa programu ya wiki hii.

Azam FC ilipumzika jana Jumatatu ili...

Jul 30, 2016 05:02pm

BALOZI wa Tanzania nchini Saudi Arabia, Mh. Hemedi Iddi Mgaza, amevutia na uwezekaji uliofanywa na Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, baada ya kufanya ziara ndani ya makao makuu Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam hivi karibuni....

Jul 20, 2016 12:41am

NYOTA wa Kimataifa ya Zimbabwe, Bruce Kangwa, ametua nchini jioni ya leo tayari kabisa kufanya majaribio ya kujiunga na Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC.

Kangwa anatokea kwa vinara wa Ligi Kuu nchini humo Highlanders FC na...

Jul 16, 2016 05:13pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, leo mchana imempokea nyota wa Kimataifa wa Niger, Chicoto Mohamed, aliyekuja kufanya majaribio ya kujiunga na timu hiyo.

Beki huyo wa kati aliyetokea katika timu ya ASM Oran ya Algeria...

Jul 15, 2016 04:19pm

WAKATI nyota kutoka nchini Ivory Coast Ibrahima Fofana, akianza majaribio leo, Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC imempokea straika mwingine raia wa Niger, Mossi Moussa Issa.

Issa, 22, ametua nchini usiku wa kuamkia leo na...

Jul 13, 2016 10:58pm

MSHAMBULIAJI Ibrahima Fofana kutoka nchini Ivory Coast ametua nchini leo Jumanne mchana tayari kabisa kufanya majaribio ya kujiunga na Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC.

Mabingwa hao kwa sasa wapo kwenye mchakato wa...

Jun 24, 2016 12:14pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, imezidi kupiga hatua katika utoaji wa habari zake kwenye mitandao ya kijamii, na sasa muda mfupi ujao inatarajia kufikisha ‘likes’ 400,000 za mashabiki wa soka wanaotembelea ukurasa wake wa...

Pages

Back to Top