Azam Complex, sasa ni kuserereka tu

Category: 
Team: 
Azam FC

#AzamFCToTheNextLevel

MAREKEBISHO ya sehemu ya kuchezea ya Uwanja wa Azam Complex unaomilikiwa na Azam FC, yamemalizika kwa asilimia 100 na sasa upo tayari kwa matumizi ya kuchezea mechi mbalimbali.

#AzamComplexStadiumRenovation #WeAreAzamFC #TimuBoraBidhaaBora

FULL VIDEO LINK | https://youtu.be/eYgdxfATVtg

Back to Top