Wachezaji wa Azam FC kimataifa
Submitted by ppkahemele on Thu, 2012-05-31 18:28
Wakati wachezaji Aggrey Morris, Mwadini Ally, Deogratius Munishi, Erasto Nyoni, Waziri Salum, Salum Abubakar, Mrisho Ngasa, na John Bocco wapo na timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars. Joseph Owino yupo na timu ya Taifa ya Uganda Cranes na Abdulhalim Humud, Khamis Mcha, Abdi Kassim na Abdulghani Ghulam Abdallah wapo na Zanzibar heroes inayoenda kucheza kombe la dunia la mataifa yasiyo wanachama wa FIFA
Hii inafanya jumla ya wachezaji 14 wa Azam Fc wawe kwenye majukumu ya kimataifa kwa kipindi hiki
Pichani juu ni Mrisho Ngasa na Abdulhalim Humud


Viva la Azam FC
Balaa letu mpaka watu wanalinunia kisa mafanikio makubwa kuliko hata timu zinginewe..
Forza Azam FC
Noted
Noted
copied what you noted hala
copied what you noted
hala Azam FC