KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imepoteza mechi ya pili kwenye msimu huu wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) baada ya kufungwa na Tanzania Prisons bao 1-0.

Feb 14, 2019 11:58pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imepoteza mechi ya pili kwenye msimu huu wa...

Feb 12, 2019 06:39pm

KIKOSI cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, tayari kimewasili salama mkoani...

Feb 11, 2019 08:50pm

BAO lililofungwa na kiungo Salum Abubakar ‘Sure Boy, limeiwezesha Azam FC kupata sare ya 1-1...

Feb 14, 2019 11:58pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imepoteza mechi ya pili kwenye msimu huu wa...

Jan 11, 2017 10:11pm

KUELEKEA fainali ya michuano ya Kombe la Mapinduzi keshokutwa Ijumaa, Kocha Msaidizi wa Klabu...

Apr 26, 2016 02:34am

KOCHA Mkuu wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Stewart Hall, amesema kuwa yupo...

Jun 02, 2012 05:30am

Wakati wachezaji Aggrey Morris, Mwadini Ally, Deogratius Munishi, Erasto Nyoni, Waziri Salum,...

Jan 05, 2012 06:12pm

 

Nahodha Agrey Morris amewatoa shaka mashabiki wa Azam FC kwa kuhakikisha ushindi...

Feb 14, 2019 11:58pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imepoteza mechi ya pili kwenye msimu huu wa...

Sep 13, 2014 04:08pm

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Joseph Marius Omog amesema kwamba kikosi chake kipo tayari kwa mchezo wa...

Jul 10, 2016 01:55pm

UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, umetangaza rasmi kuwatema wachezaji...

Nov 11, 2016 10:25pm

UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, unayofuraha kuwaataarifu wapenzi wa...

News by Cetegory

Highlight News

Feb 14, 2019 11:58pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imepoteza mechi ya pili kwenye msimu huu wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) baada ya kufungwa na Tanzania Prisons bao 1-0.

Matokeo hayo yanaifanya Azam FC kubakiwa na pointi zake 49 ikiwa nafasi ya pili kwenye msimamo, ikizidiwa pointi tisa na vinara Yanga waliokuwa nazo 58.

Mchezo huo uliofanyika Uwanja wa Sokoine, Mbeya ulikuwa ni mkali na wa aina yake, Azam FC ikionekana kutengeneza nafasi kadhaa lakini ikashindwa kuzitumia kwa...

Feb 12, 2019 06:39pm

KIKOSI cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, tayari kimewasili salama mkoani Mbeya kikiwa kimejidhatiti kufanya kweli kwenye mchezo ujao dhidi ya Tanzania Prisons.

Azam FC inawasili mkoani humo ikiwa imetoka kucheza mkoani Iringa dhidi ya Lipuli jana Jumatatu, ikipata sare ya bao 1-1 huku bao lake likifungwa na kiungo Salum Abubakar ‘Sure Boy’.

Akizungumza na mtandao rasmi wa klabu www.azamfc.co.tz Kocha Msaidizi wa Azam FC...

Feb 11, 2019 08:50pm

BAO lililofungwa na kiungo Salum Abubakar ‘Sure Boy, limeiwezesha Azam FC kupata sare ya 1-1 ugenini dhidi Lipuli, mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) uliofanyika Uwanja wa Samora mkoani Iringa.

Azam FC kwa kupata sare hiyo hivi sasa wanafikisha jumla ya pointi 49 katika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi ikizidiwa pointi tisa na Yanga iliyokuwa nazo 58.

Kipa wa Azam FC, Benedict Haule, aliweza kusimama imara langoni ikiwa ni mechi yake ya kwanza ya ligi kucheza msimu huu...

Feb 10, 2019 04:25pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, itakuwa ugenini kesho Jumatatu kuvaana na Lipuli katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) utakaofanyika Uwanja wa Samoro mkoani Iringa.

Kikosi cha Azam FC tayari kimewasili salama mkoani Iringa usiku wa jana, kikiwa na ari kubwa ya kupata ushindi, wachezaji wote wakiwa kwenye hali nzuri kabisa kiafya na kupambana kwa ajili ya mchezo huo muhimu.

Azam FC itaingia dimbani ikiwa na kumbukumbu ya kutoka sare ya bao 1-1 dhidi ya...

Feb 09, 2019 09:21pm

KIKOSI cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, tayari kimewasili salama mkoani Iringa usiku huu kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) dhidi ya Lipuli.

Mchezo huo unatarajia kufanyika Uwanja wa Samora mkoani humo keshokutwa Jumatatu, Azam FC ikiwa imejipanga vema kupata matokeo mazuri kwenye mtanange huo muhimu kabisa katika mbio zake za kuwania taji la ligi hiyo.

Baada ya kuwasili kikosi hicho, kesho Jumapili kinatarajia kufanya mazoezi ya...

Feb 08, 2019 02:57pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, itakuwa nje ya jiji la Dar es Salaam kwa wiki moja ikihamishia vita yake ya kuwania pointi sita kwenye mikoa miwili ya Nyanda za Juu kuanzia kesho Jumamosi.

Azam FC inatarajia kuondoka jijini Dar es Salaam kesho Jumamosi Alfajiri tayari kwa safari hiyo, ikielekea mkoani Iringa itakapochuana na Lipuli kwenye Uwanja wa Samora jijini humo Jumatatu ijayo kabla ya Februari 12 kuelekea mkoani Mbeya kukipiga na Tanzania Prisons Februari 14...

Feb 07, 2019 10:20am

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imelazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Alliance katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) uliofanyika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.

Sare hiyo inaifanya Azam FC kufikisha jumla ya pointi 48 katika nafasi ya pili kwenye msimamo ikiwa na mchezo mmoja mkononi, ikizidiwa pointi saba na kinara Yanga aliyefikisha 55 kufuatia suluhu yake ya jana dhidi ya Singida United.

Mchezo huo ulikuwa na kasi sana, Azam FC...

Feb 05, 2019 04:49pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, inatarajia kuufungua mwezi Februari kwa kuvaana na Alliance katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) utakaofanyika Uwanja wa Azam Complex kesho Jumatano saa 2.00 usiku.

Azam FC inaendelea vema na maandalizi kuelekea mchezo huo, ambapo wachezaji wote wako kwenye hali nzuri tayari kwa mapambano ya kuwania pointi tatu muhimu ili kuendelea na kasi ya kufukuzia ubingwa wa ligi hiyo.

Mabingwa hao watashuka dimbani wakitoka...

Feb 02, 2019 12:31pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imeonekana kuwa na ratiba nzito mwezi Februari mwaka huu.

Ratiba hiyo inaonyesha kuwa, Azam FC itacheza jumla ya mechi sita, tano zikiwa za Ligi Kuu na mchezo mmoja wa Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) ikitarajia kucheza nyumbani kukipiga na Rhino Rangers kati ya February 22 na 25 mwaka huu.

Azam FC kwenye ratiba hiyo itaanza kukipiga na Alliance nyumbani, Jumatano ijayo saa 1.00 usiku kabla ya kucheza mechi tatu...

Jan 30, 2019 11:57pm

TIMU ya vijana ya Azam FC chini ya umri wa miaka 20 (Azam U-20) imewafanyia kweli vijana wenzao wa Yanga baada ya kuwachapa mabao 2-1, katika mchezo wa kirafiki uliomalizika Uwanja wa Azam Complex leo Jumatano usiku.

Azam U-20 imekuwa na utamaduni wa kucheza mechi mbalimbali za kirafiki ikiwa chini ya Kocha Mkuu wake, Meja Mstaafu Abdul Mingange, lengo likiwa ni kujiweka sawa kwa ajili ya ligi ya vijana na michuano mingine iliyopo mbele yao.

Mchezo huo ulikuwa ni wa upinzani...

Jan 29, 2019 05:41pm

MSIMU huu Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imeamua kufanya kweli kwenye kila michuano inayoshiriki hadi sasa ikionekana kuwa na rekodi kabambe.

Mabingwa hao wameonekana kuwa na fomu nzuri msimu huu hadi sasa wakiwa nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) ikiwa na pointi 47 ikizidiwa pointi sita na Yanga iliyokileleni kwa pointi 53.

Azam FC mbali na kufanya vema kwenye ligi, pia imekuwa na mwenendo bora kabisa katika michuano ya Kombe la...

Jan 28, 2019 10:13pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imetinga hatua ya 16 ya michuano ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) baada ya kuichapa Pamba mabao 2-0 mchezo uliofanyika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.

Azam FC kwa kutinga hatua hiyo, sasa kwenye raundi ya tano itakutana Rhino Rangers ya Tabora, mchezo utakaofanyika tena kwenye dimba hilo kati ya Februari 22 hadi 25 mwaka huu.

Rangers inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza (FDL), imefuzu hatua hiyo...

Back to Top