WAKATI nahodha wa Azam FC, Himid Mao ‘Ninja’, akitarajia kukaa nje ya dimba kwa wiki tatu zaidi, habari njema ni kuwa mshambuliaji Wazir Junior, ataanza rasmi mazoezi Jumatatu ijayo.

Feb 21, 2018 12:30pm

WAKATI nahodha wa Azam FC, Himid Mao ‘Ninja’, akitarajia kukaa nje ya dimba kwa wiki tatu zaidi...

Feb 20, 2018 09:32am

KOCHA Mkuu wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Aristica Cioaba, ameweka wazi...

Feb 16, 2018 08:19pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imetoka suluhu dhidi ya Lipuli katika mchezo...

Feb 21, 2018 12:30pm

WAKATI nahodha wa Azam FC, Himid Mao ‘Ninja’, akitarajia kukaa nje ya dimba kwa wiki tatu zaidi...

Feb 20, 2018 09:32am

KOCHA Mkuu wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Aristica Cioaba, ameweka wazi...

Oct 06, 2016 07:40pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, inapenda kuufahamisha umma kuwa imemteua...

Jun 02, 2012 05:30am

Wakati wachezaji Aggrey Morris, Mwadini Ally, Deogratius Munishi, Erasto Nyoni, Waziri Salum,...

Jan 05, 2012 06:12pm

 

Nahodha Agrey Morris amewatoa shaka mashabiki wa Azam FC kwa kuhakikisha ushindi...

Feb 21, 2018 12:30pm

WAKATI nahodha wa Azam FC, Himid Mao ‘Ninja’, akitarajia kukaa nje ya dimba kwa wiki tatu zaidi...

Sep 13, 2014 04:08pm

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Joseph Marius Omog amesema kwamba kikosi chake kipo tayari kwa mchezo wa...

Jul 10, 2016 01:55pm

UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, umetangaza rasmi kuwatema wachezaji...

Nov 11, 2016 10:25pm

UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, unayofuraha kuwaataarifu wapenzi wa...

News by Cetegory

Highlight News

Feb 21, 2018 12:30pm

WAKATI nahodha wa Azam FC, Himid Mao ‘Ninja’, akitarajia kukaa nje ya dimba kwa wiki tatu zaidi, habari njema ni kuwa mshambuliaji Wazir Junior, ataanza rasmi mazoezi Jumatatu ijayo.

Wawili hao wanasumbuliwa na majeraha tofauti, Himid akisumbuliwa na maumivu ya chini ya goti la mguu wa kulia huku Junior akikabiliwa na tatizo la kifundo cha mguu (enka), ambayo tayari ameshapatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) kitengo cha MOI.

Himid ambaye pia Nahodha wa...

Feb 20, 2018 09:32am

KOCHA Mkuu wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Aristica Cioaba, ameweka wazi kuwa timu hiyo haitakiwi kufanya makosa yoyote kuelekea mchezo wa hatua ya 16 bora ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) dhidi ya KMC utakaofanyika Uwanja wa Azam Complex Jumamosi hii saa 1.00 usiku.

Azam FC inayodhaminiwa na Benki ya NMB, Maji safi ya Uhai Drinking Water na Tradegents, itaingia kwenye mchezo huo ikitoka kupata sare mbili mfululizo katika mechi za Ligi Kuu ya...

Feb 16, 2018 08:19pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imetoka suluhu dhidi ya Lipuli katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) uliofanyika Uwanja wa Samora, Iringa jioni ya leo.

Kwa matokeo hayo Azam FC inaendelea kusalia nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi ikifikisha pointi 35, ikizidiwa pointi mbili na Yanga (37) iliyonafasi ya pili huku Simba ikiwa kileleni kwa pointi 42, zote hizo mbili za juu zikiwa na mchezo mmoja mkononi.

Hiyo ni mechi ya tatu mfululizo...

Feb 15, 2018 08:31pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, itakuwa na kazi moja tu kesho Ijumaa kusaka pointi tatu muhimu ugenini pale itakapokuwa ikimenyana na Lipuli katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) utakaopigwa Uwanja wa Samora, mjini Iringa.

Huo utakuwa mchezo muhimu kwa kikosi hicho katika kukirudisha katika mwenendo wa ushindi baada ya kutofanya hivyo kwenye mechi mbili zilizopita kufuatia kufungwa bao 1-0 na Simba na sare ya bao 1-1 dhidi ya Kagera Sugar, zote...

Feb 14, 2018 06:33am

NAHODHA wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Himid Mao ‘Ninja’, anatarajiwa kuelekea jijini Cape Town, nchini Afrika Kusini kesho Alhamisi kufanyiwa uchunguzi wa goti la mguu wake kulia linalomsumbua.

Ninja ambaye amekosa takribani mechi nne zilizopita za Azam FC baada ya kupewa mapumziko maalum kupisha matibabu ya tatizo hilo, amekuwa nguzo muhimu ya timu hiyo na timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ katika eneo la kiungo cha ukabaji na baadhi ya mechi akitumika...

Feb 13, 2018 04:28pm

BAADA ya kutofanya vizuri kwenye mechi mbili zilizopita, Kocha Msaidizi wa Azam FC, Idd Cheche, ameweka wazi kuwa huu si wa timu hiyo kwenye vita ya kuwania ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL).

Azam FC ambayo ni moja ya timu zilizo kwenye vita ya kuwania ubingwa huo msimu huu, katika mechi nne zilizopita za ligi imefanikiwa kuibuka na kushinda mchezo mmoja dhidi ya Ndanda (3-1), ikapoteza dhidi ya Yanga (2-1) na Simba (1-0) kabla ya jana kutoka sare ya ugenini na Kagera...

Feb 12, 2018 09:34pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imefanikiwa kutoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Kagera Sugar, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) uliomalizika Uwanja wa Kaitaba, mjini Bukoba, Kagera jioni ya leo.

Matokeo hayo yameifanya Azam FC kufikisha jumla ya pointi 34 katika nafasi ya tatu kwenye msimamo sawa na Yanga iliyo nafasi ya pili kwa uwiano mzuri wa mabao ya kufunga na kufungwa huku ikiwa na mchezo mmoja mkononi sawa na Simba, ambayo ipo kileleni kwa...

Feb 10, 2018 02:42pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, inatarajia kuondoka jijini kesho Jumapili asubuhi kwa ndege, tayari kabisa kuelekea mkoani Kagera, Bukoba kukabiliana na Kagera Sugar kwenye Uwanja wa Kaitaba keshokutwa Jumatatu.

Azam FC inaelekea mkoani humo kwa kazi moja tu ya kusaka ushindi ili kujiweka vema kwenye msimamo wa ligi baada ya kuteleza katika mchezo uliopita ikifungwa na Simba bao 1-0.

Tayari kikosi hicho kimeshaanza maandalizi kujiandaa na mchezo huo, kikianza...

Feb 08, 2018 01:32pm

DROO ya raundi ya 16 bora ya michuano ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) imepangwa muda mchache uliopita, ambapo Azam FC imepangwa kucheza ugenini dhidi ya KMC kati ya Februari 22 hadi 25 mwaka huu.

Mchezo huo huenda ukafanyika Uwanja wa Azam Complex au Uhuru, hii itategemeana na uamuzi wa wenyeji KMC watakaochagua uwanja watakaoutumia.

Hii itakuwa ni mara ya pili msimu huu kwa timu hizo mbili kucheza, mara ya kwanza ilikuwa kwenye mchezo maalumu wa kirafiki wa...

Feb 07, 2018 10:49pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imeshindwa kutamba ugenini baada ya kufungwa bao 1-0 dhidi ya Simba, katika mchezo mkali wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) uliofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo jioni.

Matokeo hayo yanaifanya Azam FC kubakia nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi hiyo ikiwa na pointi 33 sawa na Singida United iliyo nafasi ya nne, ikiwa nyuma ya Yanga iliyojikusanyia pointi 34 katika nafasi ya tatu huku Simba ikijikita kileleni baada...

Feb 06, 2018 03:36pm

ITAKUWA ni vita kali ndani ya Uwanja wa Taifa kesho Jumatano saa 10.00 jioni, pale Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, itakapokuwa ugenini kupambana na Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL).

Utamu na ukali wa mchezo huo unaongezwa kutokana na kuhusisha timu mbili zinazofuatana kwa ukaribu kwenye vita ya kuwania taji la ligi hiyo, Azam FC ikiwa katika nafasi ya pili kwa pointi zake 33 huku Simba ikiwa kileleni ikijikusanyia 38.

Wakati Azam...

Feb 05, 2018 10:21am

ZIKIWA zimesalia siku mbili kabla ya Azam FC kupambana na Simba, nahodha msaidizi wa timu hiyo Agrey Moris, ameweka wazi kuwa hawatawaangusha mashabiki kwenye mchezo huo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) utakaofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Mchezo huo utakaopigwa keshokutwa Jumatano saa 10.00 jioni, unatarajia kuwa mkali ya wa aina yake kutokana na Azam FC iliyojikusanyia pointi 33 kuwa kwenye vita kali ya kuwania ubingwa wa ligi hiyo dhidi ya wekundu hao walio...

Back to Top