KOCHA Mkuu wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Hans Van Der Pluijm, amesema kuwa hatua kwa hatua kikosi chake kitakuwa vizuri kuelekea msimu ujao 2018-2019.

Aug 13, 2018 11:58pm

KOCHA Mkuu wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Hans Van Der Pluijm, amesema...

Aug 12, 2018 07:27pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, leo imeendelea na mechi za kujiweka sawa na...

Aug 10, 2018 07:08pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imepoteza kwa kufungwa mabao 4-2 dhidi ya...

Aug 13, 2018 11:58pm

KOCHA Mkuu wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Hans Van Der Pluijm, amesema...

Aug 12, 2018 07:27pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, leo imeendelea na mechi za kujiweka sawa na...

Aug 10, 2018 07:08pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imepoteza kwa kufungwa mabao 4-2 dhidi ya...

Jun 02, 2012 05:30am

Wakati wachezaji Aggrey Morris, Mwadini Ally, Deogratius Munishi, Erasto Nyoni, Waziri Salum,...

Jan 05, 2012 06:12pm

 

Nahodha Agrey Morris amewatoa shaka mashabiki wa Azam FC kwa kuhakikisha ushindi...

Aug 13, 2018 11:58pm

KOCHA Mkuu wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Hans Van Der Pluijm, amesema...

Sep 13, 2014 04:08pm

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Joseph Marius Omog amesema kwamba kikosi chake kipo tayari kwa mchezo wa...

Jul 10, 2016 01:55pm

UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, umetangaza rasmi kuwatema wachezaji...

Nov 11, 2016 10:25pm

UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, unayofuraha kuwaataarifu wapenzi wa...

News by Cetegory

Highlight News

Aug 13, 2018 11:58pm

KOCHA Mkuu wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Hans Van Der Pluijm, amesema kuwa hatua kwa hatua kikosi chake kitakuwa vizuri kuelekea msimu ujao 2018-2019.

Azam FC inaelekea kuhitimisha maandalizi ya msimu ujao ikiwa nchini Uganda kwa kambi ya wiki mbili tokea Julai 30, ikitarajia kurejea jijini Dar es Salaam Alhamisi hii mchana.

Ikiwa kwenye kambi hiyo, mabingwa hao mara mbili mfululizo wa Kombe la Kagame na Mapinduzi, wamecheza mechi tatu za kujipima nguvu...

Aug 12, 2018 07:27pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, leo imeendelea na mechi za kujiweka sawa na msimu ujao ikiwa kambini nchini Uganda, safari hii ikitoka sare ya bao 1-1 na Express.

Mchezo huo uliokuwa mkali na wa aina yake, ulifanyika Uwanja wa Mutesa II, ikiwa ni mechi ya tatu ya kirafiki kwa mabingwa hao kambini nchini humo.

Mechi mbili za awali, Azam FC ilitoka suluhu na URA kabla ya kupoteza kwa kufungwa mabao 4-2 dhidi ya washindi wa pili wa Ligi Kuu Uganda, KCCA.

...

Aug 10, 2018 07:08pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imepoteza kwa kufungwa mabao 4-2 dhidi ya KCCA katika mchezo wa kirafiki wa maandalizi ya msimu ujao.

Mchezo huo uliofanyika Uwanja wa KCCA, benchi la ufundi Azam FC la iliutumia kama sehemu ya kujiweka sawa baada ya mazoezi makali ya takribani siku 10 kambini nchini Uganda.

Azam FC ilianza vema mchezo huo kwa kujipatia mabao mawili ya haraka, ikianza kufunga la kwanza dakika ya tatu lililofungwa na nahodha Agrey Moris, kwa...

Aug 08, 2018 10:05am

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Azam FC, Shaaban Idd, ametua rasmi nchini Hispania kwenye klabu yake mpya ya CD Tenerife aliyojiunga nayo kwa mkataba wa miaka miwili.

Chilunda, 20, aliyekuwa akisubiria kukamilika kwa taratibu za kutafuta kibali cha kufanya kazi nchini Hispania, alitarajiwa kutua nchini humo leo saa 4.55 asubuhi kwa saa za Tanzania kabla ya kufanyiwa vipimo saa 9.00 alasiri.

Nyota huyo anakuwa mchezaji wa pili wa Azam FC kujiunga na timu hiyo inayopambana kupanda Ligi...

Aug 07, 2018 06:12pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, kesho Jumatano itacheza mechi yake ya pili ya kujipima nguvu, ikikipiga dhidi ya moja ya timu matajiri nchini Uganda, Wakiso Giants, utakaofanyika Uwanja wa KCCA saa 8.00 mchana.

Azam FC ipo kambini nchini Uganda ikijiandaa na msimu ujao, ambapo mechi hiyo itakuwa ya pili baada ya awali Ijumaa iliyopita kukipiga na URA, mchezo uliomalizika kwa suluhu.

Wakiso inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza Uganda, imechukuliwa na moja ya...

Aug 07, 2018 03:06pm

WAKATI zikiwa zimesalia siku 15 kabla ya pazia la Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) msimu mpya 2018/2019 kufunguliwa, habari njema ni kuwa mshambuliaji mpya wa Azam FC, Donald Ngoma, yuko kwenye hatua za mwisho kurejea dimbani.

Nyota huyo ambaye tayari ameanza mazoezi mepesi ya kujiweka sawa, kwa sasa anafanya mazoezi makali ya gym kwa muda wa dakika 90 kila siku kambini nchini Uganda, akitafuta ufiti wa viungo kwa mujibu wa programu aliyopewa.

Programu hiyo ataendelea nayo hadi...

Aug 05, 2018 02:15pm

NYOTA wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Enock Atta, ameiongoza timu ya Taifa ya Ghana chini ya umri wa miaka 20 (Ghana U-20) kuichapa Benin mabao 3-1 kwenye mchezo wa raundi ya tatu kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika kwa vijana wa umri huo mwakani (AFCON U-20).

Mchezo huo wa kwanza uliofanyika Uwanja wa Cape Coast nchini Ghana jana, ilishuhudiwa winga huyo wa Azam FC akianza kwenye kikosi cha kwanza akicheza dakika 88 za mchezo na kupika bao la pili la Ghana dakika...

Aug 03, 2018 10:23pm

KOCHA Mkuu wa Mabingwa wa Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Hans Van Der Pluijm, ameelezea kufurahishwa na namna vijana wake walivyoweza kupambana kwa nguvu dhidi ya URA.

Mchezo huo wa kimataifa wa kirafiki wa maandalizi ya msimu ujao, ulifanyika Uwanja wa Taifa wa Mandela (zamani Namboole) na kushuhudiwa ukiisha kwa suluhu.

Akizungumza na mtandao rasmi wa klabu www.azamfc.co.tz Pluijm alisema kuwa haukuwa mchezo rahisi huku akikiri timu...

Aug 03, 2018 07:37pm

MABINGWA wa Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, wameanza kwa sare mechi ya kwanza ya kirafiki ya maandalizi ya msimu ujao baada ya kutoka suluhu na URA, mchezo uliofanyika Uwanja wa Taifa wa Mandela (zamani Namboole) jijini Kampala, Uganda.

Azam FC ipo kwenye kambi ya wiki mbili nchini humo, ziara itakayoambatana na mechi nne za kirafiki, ili kujiweka sawa na msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara na michuano mingine unaoanza wiki chache zijazo.

Wachezaji wapya wa Azam FC, beki wa...

Aug 02, 2018 09:59am

MSHAMBULIAJI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Donald Ngoma, anaendelea na programu maalum ya mazoezi mepesi aliyopewa kabla ya kurejea uwanjani wiki ijayo.

Nyota huyo raia wa Zimbabwe anaendelea vizuri akiwa kwenye hatua za mwisho ya kurejea uwanjani, ambapo awali wataalamu wa Hospitali ya Vincent Pallotti, Cape Town, Afrika Kusini walimpatia matibabu walibaini Ngoma kuchana mtulinga wa mbele wa goti la mguu wa kulia (Anterior Cruciate Ligament).

Wataalamu...

Aug 01, 2018 09:53am

MABINGWA wa Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, wanatarajia kucheza mechi ya kwanza ya kirafiki kwenye kambi yake nchini Uganda dhidi ya URA, mchezo utakaofanyika Uwanja wa Namboole keshokutwa Ijumaa saa 10.00 jioni.

Azam FC inaendelea na kambi yake ya wiki mbili nchini humo kujiandaa na msimu ujao, ambapo benchi la ufundi limekuwa likiwapa mazoezi kabambe wachezaji wa timu hiyo ili kukindaa vema kikosi hicho.

Mbali na mechi hiyo na URA, kwa mujibu wa programu yake ikiwa nchini...

Jul 31, 2018 02:43pm

KAZI KAZI! Ndio unavyoweza kuielezea kambi ya Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, hapa nchini Uganda, kutokana na maandalizi makali wanayofanya ikiwa ni siku ya pili tokea iwasili nchini humo.

Msafara wa Azam FC umetua jana mchana nchini humo na kujichimbia katika Hoteli ya Top Five, iliyopo Ntinda, jijini Kampala, wakiweka kambi ya wiki mbili itakayoambatana na takribani mechi nne hadi tano za kirafiki kabla ya kurejea jijini Dar es Salaam Agosti 16 mwaka huu.

...

Back to Top