KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imeichapa Friends Ranger mabao 5-0 katika mchezo wa kirafiki uliomalizika usiku huu kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.

Mar 24, 2018 10:18pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imeichapa Friends Ranger mabao 5-0 katika...

Mar 24, 2018 12:26pm

KIKOSI cha timu ya vijana ya Azam FC chini ya umri wa miaka 20 (Azam U-20) leo kimeipa mazoezi...

Mar 23, 2018 07:14pm

MKUU wa Maendeleo ya Soka la Vijana Azam FC, Tom Legg, ameweka wazi mipango aliyojiweka mwaka...

Mar 24, 2018 10:18pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imeichapa Friends Ranger mabao 5-0 katika...

Mar 24, 2018 12:26pm

KIKOSI cha timu ya vijana ya Azam FC chini ya umri wa miaka 20 (Azam U-20) leo kimeipa mazoezi...

Mar 23, 2018 07:14pm

MKUU wa Maendeleo ya Soka la Vijana Azam FC, Tom Legg, ameweka wazi mipango aliyojiweka mwaka...

Jun 02, 2012 05:30am

Wakati wachezaji Aggrey Morris, Mwadini Ally, Deogratius Munishi, Erasto Nyoni, Waziri Salum,...

Jan 05, 2012 06:12pm

 

Nahodha Agrey Morris amewatoa shaka mashabiki wa Azam FC kwa kuhakikisha ushindi...

Mar 24, 2018 10:18pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imeichapa Friends Ranger mabao 5-0 katika...

Sep 13, 2014 04:08pm

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Joseph Marius Omog amesema kwamba kikosi chake kipo tayari kwa mchezo wa...

Jul 10, 2016 01:55pm

UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, umetangaza rasmi kuwatema wachezaji...

Nov 11, 2016 10:25pm

UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, unayofuraha kuwaataarifu wapenzi wa...

News by Cetegory

Highlight News

Mar 24, 2018 10:18pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imeichapa Friends Ranger mabao 5-0 katika mchezo wa kirafiki uliomalizika usiku huu kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.

Mchezo huo ulikuwa ni maalum kwa ajili ya wachezaji wa Azam FC kupata mechi ya ushindani kufuatia kusimama kwa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) kupisha mechi za kirafiki zilizo katika kalenda ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA).

Vilevile benchi la ufundi la Azam FC limeutumia...

Mar 24, 2018 12:26pm

KIKOSI cha timu ya vijana ya Azam FC chini ya umri wa miaka 20 (Azam U-20) leo kimeipa mazoezi timu Taifa ya Tanzania chini ya umri wa miaka 17 (Serengeti Boys) katika mchezo maalumu wa kirafiki wa mazoezi uliofanyika Uwanja wa Karume, Ilala, Dar es Salaam.

Ilishuhudiwa vijana wa Azam U-20 wakiibuka kidedea kwa ushindi wa bao 1-0, lililofungwa na Hamadi Aziz, dakika ya nane akitumia vema pasi ya Mahamud Said, na kudumu kwa dakika zote 90 za mchezo huo.

Serengeti Boys...

Mar 23, 2018 07:14pm

MKUU wa Maendeleo ya Soka la Vijana Azam FC, Tom Legg, ameweka wazi mipango aliyojiweka mwaka huu katika timu ya vijana chini ya umri wa miaka 17 (Azam U-17).

Kocha huyo raia wa Uingereza amesema tayari ameanzisha timu ya chini ya umri wa miaka 17, ambayo ameanza kufanya nayo mazoezi tokea mwezi uliopita huku akifurahishwa na vijana wake 10 kuitwa katika kikosi cha timu ya Taifa ya vijana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 17 ‘Serengeti Boys’.

Legg anatarajia kuwaona vijana...

Mar 21, 2018 10:56pm

TIMU ya vijana ya Azam FC chini ya umri wa miaka 20 (Azam U-20) imeendelea kugawa dozi kama kawaida baada ya kuichapa timu ya jeshi ya Navy kutoka Kigamboni mabao 4-1.

Mchezo huo wa kirafiki uliofanyika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi ulikuwa na ushindani mkubwa ambapo kikosi cha Azam U-20, kilijipatia mabao mawili kwenye kila kipindi cha mtanange huo.

Mabao ya Azam U-20 yamefungwa na Hamadi Aziz, aliyefunga la kwanza akimalizia pande safi la Mahamud Said, dakika chache kabla...

Mar 21, 2018 08:30am

BEKI wa kati wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Daniel Amoah, anatarajia kwenda jijini Cape Town, Afrika Kusini kwa ajili ya matibabu ya goti Jumatatu ijayo.

Amoah ameshindwa kupona majeraha hayo tokea ayapate Desemba 19, mwaka jana, wakati Azam FC ikicheza mechi ya kirafiki dhidi ya Polisi Tanzania na kuichapa mabao 3-1.

Februari 7 alirejea tena uwanjani na kucheza mechi dhidi ya Simba, Azam FC ikipoteza kwa bao 1-0 kwenye Uwanja wa Taifa, ambapo alijikuta...

Mar 20, 2018 03:57pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, inatarajia kunoa makali yake kwa kukipiga na Friends Ranger kwenye mchezo wa kirafiki unaotarajia kufanyika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam Jumamosi hii saa 1.00 usiku.

Mchezo huo ni maalum kabisa kwa ajili ya kuwaweka wachezaji kwenye ushindani kutokana na kusimama kwa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) kupisha mechi za Kimataifa za kirafiki zilizo katika kalenda ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA).

...

Mar 19, 2018 05:35pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, kwa sasa ipo kwenye maandalizi ya makali kuelekea mchezo ujao wa hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) dhidi ya Mtibwa Sugar utakaofanyika Uwanja wa Azam Complex Machi 31 mwaka huu saa 1.00 usiku.

Zimebakia takribani siku 12 kuelekea mchezo huo, ambapo tayari kikosi cha Azam FC kimeanza maandalizi toka Alhamisi iliyopita chini Kocha Mkuu, Aristica Cioaba, ambaye anauchukulia uzito mkubwa mchezo huo...

Mar 18, 2018 02:58pm

WACHEZAJI watatu wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, Nahodha Himid Mao ‘Ninja’, washambuliaji Shaaban Idd na Yahya Zayd wanatarajia kuripoti kwenye kambi ya timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ leo Jumapili saa 9 alasiri.

Himid na Shaaban wameongezwa Stars na Kocha Mkuu, Salum Mayanga, hivi karibuni baada ya awali kutangulia kumuita Zayd pekee katika kikosi hicho kwa upande wa Azam FC.

Kambi hiyo ya Stars inayoanza leo, inajiandaa na mechi mbili za...

Mar 17, 2018 03:00pm

TIMU ya vijana ya Azam FC chini ya umri wa miaka 20 ‘Azam U-20’ imeishushia kipigo kizito cha mabao 15-1 Sweya SC, katika mchezo wa kirafiki uliomalizika jioni hii kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.

Azam U-20 inayonolewa na Kocha Mkuu Meja Abdul Mingange, ilifanikiwa kupata mabao sita kwenye kipindi cha kwanza, yaliyofungwa na beki wa kulia Abdul Omary ‘Hama Hama’, kiungo Twaha Hashir na Novatus Dismas, kila mmoja akifunga mara mbili.

Kipindi cha pili Azam U...

Mar 16, 2018 02:46pm

IKIWA ni siku moja tu tangu kikosi cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, kianze maandalizi ya kuivaa Mtibwa Sugar, Kocha Msaidizi wa timu hiyo, Idd Cheche, ameahidi mchezo mzuri na ushindi kwa mashabiki.

Mchezo huo wa hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) unatarajia kufanyika Uwanja wa Azam Complex Machi 30 mwaka huu saa 1.00 usiku, ambapo tayari kikosi cha Azam FC kimeshaanza maandalizi tokeo jana jioni.

“Mashabiki waendelee...

Mar 14, 2018 01:18pm

ROBO fainali ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) kati ya Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC na Mtibwa Sugar sasa itafanyika Machi 31 mwaka huu kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salam saa 1.00 usiku.

Mchezo huo unasubiriwa kwa hamu na mashabiki wengi wa soka, Azam FC ikiwa imejidhatiti kutinga nusu fainali kwa kuichapa timu hiyo ikiwa ni katika kutimiza malengo ya kulitwaa taji hilo.

Kikosi cha Azam FC kilichokuwa kwenye mapumziko ya...

Mar 11, 2018 11:18pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imezidi kufanya kweli baada ya kuichapa Mbao mabao 2-1, mchezo uliomalizika usiku huu kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi.

Licha ya Simba na Yanga kuwa na mechi mbili mkononi kila mmoja, lakini matokeo hayo yanaifanya Azam FC kusogea hadi nafasi ya pili ikifikisha pointi 44 ikiizidi Yanga pointi moja huku ikizidiwa pointi mbili na Simba iliyo kileleni kwa pointi 46.

Mabao ya Azam FC iliyopata ushindi wa tatu mfululizo,...

Back to Top