INJURY UPDATE | Daniel Amoah aanza programu ya kujifua Azam FC

Category: 

Beki wa kati wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Daniel Amoah, ameanza kujifua kwa mazoezi mepesi ya gym (pysiotherapy) kwenye kliniki ya London Health Care iliyopo Msasani, Dar es Salaam.

Amoah aliyekuwa nje kwa takribani miezi tisa lifanyika upasaji mkubwa wa goti Februari mwaka huu. #GetWellSoonAmoah3

Back to Top