KAGAME CUP 2015 MEMORIES | All Goals Scored By The Champions, Azam FC

Category: 

WAKATI michuano ya Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati (CECAFA Kagame Cup) ikirejea tena kuanzia Juni 29 hadi Julai 13 mwaka huu jijini Dar es Salaam. Hebu angalia makala fupi ya mabao yote yaliyofuangwa na mabingwa watetezi Azam FC walivyotwaa taji hilo Agosti 2, 2015.

Azam FC ilitwaa taji hilo kwa rekodi ya aina yake ya kutopoteza mchezo wala kuruhusu nyavu zake kutikiswa kwenye mechi zote sita ilizocheza za michuano hiyo hadi fainali ilipoifunga Gor Mahia ya Kenya mabao 2-0.

Back to Top