Kikosi cha Azam FC kimeifanyia Friends Rangers kwa kuifunga mabao 4-2, mchezo uliochezwa leo Uwanja wa Azam Complex.

 

Jul 02, 2015 01:49pm

 

Kikosi cha Azam FC kimeifanyia Friends Rangers kwa kuifunga mabao 4-2, mchezo...

Jun 30, 2015 12:59pm

Azam FC inashusha wachezaji sita mahiri kwa majaribio ya kujiunga na kuimarisha kikosi cha msimu...

Jun 24, 2015 02:13pm

Kikosi cha timu ya veteran ya Azam FC

Jul 02, 2015 01:49pm

 

Kikosi cha Azam FC kimeifanyia Friends Rangers kwa kuifunga mabao 4-2, mchezo...

Jun 30, 2015 12:59pm

Azam FC inashusha wachezaji sita mahiri kwa majaribio ya kujiunga na kuimarisha kikosi cha msimu...

Mar 26, 2014 07:41pm

 

KWELI “Sasa mmekuwa, Mnacheza kama mabingwa, Mwaka huu wenu, Duh… wale mabeki hawana...

Jun 02, 2012 05:30am

Wakati wachezaji Aggrey Morris, Mwadini Ally, Deogratius Munishi, Erasto Nyoni, Waziri Salum,...

Jan 05, 2012 06:12pm

 

Nahodha Agrey Morris amewatoa shaka mashabiki wa Azam FC kwa kuhakikisha ushindi...

Jul 02, 2015 01:49pm

 

Kikosi cha Azam FC kimeifanyia Friends Rangers kwa kuifunga mabao 4-2, mchezo...

Jun 24, 2015 02:07pm

Kikosi cha Azam FC kinachojiandaa na mashindano ya Kagame Cup kimeendelea na maandalizi yake...

Jun 19, 2015 02:45pm

Wakati mazoezi ya timu ya soka ya Azam FC yakiwa yameanza huku timu ikiwakosa nyota wake wengi...

Jun 19, 2015 02:36pm

Ame Ally Zungu aliyesajiliwa na Azam FC akitokea Mtibwa Sugar, leo ameanza rasmi mazoezi na...

News by Cetegory

Select Your Team For Team News

Highlight News

Jul 02, 2015 01:49pm

 

Kikosi cha Azam FC kimeifanyia Friends Rangers kwa kuifunga mabao 4-2, mchezo uliochezwa leo Uwanja wa Azam Complex.

 

Joseph Kimwaga majeruhi wa muda mrefu aliyefanyiwa upasuaji mchini Afrika Kusini, alicheza mechi yake ya kwanza leo na kuipatia Azam bao la kufungia kalamu ya mabao hayo dakika ya 83 kutokana na kazi nzuri iliyofanywa na Mrundi Didier Kavumbagu.

 

Katika mchezo huo uliokuwa na kasi kutokana na namna Friends kuwa na wachezaji maarufu kama...

Jun 30, 2015 12:59pm

Azam FC inashusha wachezaji sita mahiri kwa majaribio ya kujiunga na kuimarisha kikosi cha msimu ujao ambacho pia kitawakilisha nchi kwenye mashindano ya CECAFA Kagame Cup wiki tatu zijazo na Kombe la shirikisho hapo mwakani.

 

Wachezaji wanaokuja kwa mazungumzo, majaribio na kupima afya zao kabla ya kujiunga na kikosi cha Stewart Hall ni pamoja na mshambulizi anayeongoza kufumania nyavu kwenye ligi ya Zambia toka klabu ya Nkana Red Devils Jimmy Ndhlovu ambaye awali alikuwa...

Jun 24, 2015 02:07pm

Kikosi cha Azam FC kinachojiandaa na mashindano ya Kagame Cup kimeendelea na maandalizi yake kwenye viunga vya Azam Complex huku benchi jipya la ufundi likifurahia vipaji vilivyopo.

 

Wasaidizi wa Stewart toka uingereza na Romania wameonekana kufurahishwa sana na nidhamu, vipaji na kujituma kwa wachezaji waliowakuta Azam FC na wakasema watahakikisha wanatumia maarifa yao yote kuhakikisha wanaifanya Azam FC klabu inayoheshmika Afrika.

 

Wachezaji wa kigeni...

Jun 19, 2015 02:45pm

Wakati mazoezi ya timu ya soka ya Azam FC yakiwa yameanza huku timu ikiwakosa nyota wake wengi kutokana na kuwa na majukumu kwenye timu za taifa kikosi cha under 20 kimenogesha mazoezi hayo.

Vijana hao wa kikosi cha vijana wamefanya mazoezi na kaka zao ya kujiandaa na msimu mpya na mashindano ya Kagame Cup. benchi jipya la Azam FC limefurahia vipaji ilivyovikuta.

Azam FC chini ya Stewart Hall imekuwa ikijifua kujiandaa na mashindano ya Kagame Cup yatakayofanyika nchini mwezi...

Jun 19, 2015 02:36pm

Ame Ally Zungu aliyesajiliwa na Azam FC akitokea Mtibwa Sugar, leo ameanza rasmi mazoezi na kikosi chake hicho kipya kilichomkabidhi jezi namba 24 iliyokuwa ikivaliwa na Gaudence Mwaikimba aliyejiunga na JKT Ruvu.

 

Amme ameungana na wenzake na kupiga matizi kujiandaa na mashindano ya kombe la Kagame. Jezi hiyo ndiyo atakayochezea michuano mbalimbali watakayoshiriki, lakini akatamka maneno mazito sana.

 

Mchezaji huyo ambaye ni mshambuliaji, amesema ana kila...

Jun 18, 2015 02:05pm

Mshambuliaji wa Azam FC, Mcha Hamis amewekwa bandeji ngumu P.O.P kwenye mguu wake wa kushoto baada ya kupata majeruhi kwenye goti lake la mguu wakushoto, hivyo amepewa mwezi mmoja kuwa nje ya Uwanja na atakosa mashindano ya Kombe la Kagame.

 

Kwa mujibu wa daktari wa Azam, Mbaruku Mlinga alisema, ili Mcha apone kabisa na kurudi uwanjani, atakaa kwa kipindi cha mwezi mmoja.

 

"Alivunjika kidogo kwenye goti ndiyo maana tukamwekea P.O.P ili awe sawa. Atakaa na...

Jun 17, 2015 12:27pm

Uongozi wa Azam FC upo katika hatua za mwisho kumsajili mlinda lango wa Jeunesse ya Ivory Coast Vincent Atchouailou de Paul Angban.

Mchezaji huyo anatarajiwa kuwasili wiki ijayo akiambatana na Kipre Tchetche, Kipre Bolou, na Serge Wawa Pascal kwa ajili ya kusaini Mkataba wa kujiunga na Azam FC. 

Mlinda mlango huyo aliyezaliwa Februari 2, mwaka 1985 mjini Anyama, pia amewahi kufanya majaribio na kucheza kwenye timu ya wachezaji wa akiba wa Chelsea ya England.

Kipa huyo...

Jun 17, 2015 10:03am

Azam imeanza rasmi mazoezi leo kwa ajili ya kujiandaa na michuano mbalimbali inayowakabili kama Kombe la Kagame, Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho ambapo kocha wao Mkuu Mungereza, Stewat Hall amesisitiza lazima kieleweke safari hii.

 

Stewart ambaye anafurahi kurudi kwenye timu yake hiyo ya zamani aliyoichukua baada ya Mcameroon Joseph Omog kuondolewa, aliingia Uwanjani hapo kwa mikwara akiwa ameambatana na msaidizi wake, Mario Marineca.

 

Ambapo aliongozana...

Jun 16, 2015 08:05pm

Kocha mkuu wa Azam FC, Muingereza Stewart Hall amesema, amefurahia ujio wa mshambuliaji Ame Ali kwenye kikosi chake na hana wasiwasi naye.

 

Ame ni mchezaji pekee aliyesajiliwa na Azam msimu huu akitokea Mtibwa Sugar na ujio wake, ulibarikiwa na Stewart mwenyewe.

 

"Ame ni mchezaji mzuri, namjua na nilikuwa nikimfuatilia alipokuwa anaichezea Mtibwa. Naamini uwepo wake utaisaidia Azam msimu huu,"alisema Stewart.

 

"Alipendekezwa kwa mujibu wa ripoti...

Jun 15, 2015 11:06am

Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imeanza vibaya mechi za Kundi G kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika 2017 baada ya kufungwa mabao 3-0 na Misri usiku wa jana mjini Alexandria.
Mabao yote ya Misri yalipatikana kipindi cha pili, wafungaji wakiwa ni Rami Rabia dakika ya 61, Basem Morsi dakika ya 65 na Mohamed Salah dakika ya 70.

Jun 13, 2015 12:38pm

Muda wowote kuanzia sasa mshambulizi kiongozi wa Mtibwa Sugar Ame Ally atatua Azam FC, Mazungumzo baina ya mchezaji na Uongozi wa Mtibwa Sugar yamekamilika, kilichosalia ni kwa mchezaji kumalizia taratibu za kujiunga na Azam FC na kutangazwa rasmi...

Zoezi hili litakapokamilika mtandao huu utawajulisha 

Jun 13, 2015 12:44pm

Kikosi cha wachezaji 23 wa Taifa Stars wanaoendelea na mazoezi mjini Addis Ababa nchini Ethiopia walikoweka kambi ya wiki moja kujiandaa na mchezo dhidi ya Misri.wanatarajia kuelekea Alexandria Misri

Kocha Mart Nooij alisema  kabla ya kuondoka kuwa watatumia kambi ya Ethiopia kujiandaa kwa mchezo wa ugenini dhidi ya Misri, wachezaji wapo katika hali nzuri na wameahidi kupambana kuhakikisha wanafanya vizuri katika mchezo huo.

Nooij alisema mchezo kati ya Misri na Tanzania...

Back to Top